AMBAYE, AMBAO, AMBACHO, AMBAYO....
M-WA
Umoja: Ambaye: mtoto niliyemtaja anakuja
Wingi: Ambao: watu niliowaona wanatoka Marekani
M-MI
Umoja: Ambao: mti ulioanguka ni mrefu sana
Wingi: Ambayo: miti iliyoanguka ni mirefu sana
KI-VI
Umoja: Ambacho: Kisu kilichonikata ni cheusi
Wingi: Ambavyo: Visu vilivyonikata ni vyeusi

1 Comments:
Nafahamu takribani kile neno ulioandika. :) Asante sana.
Post a Comment
<< Home